Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 18:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na killa mshika msukani na killa aendae mahali kwa matanga, mi baharia, nao wote watendao kazi baharini wakasimama mbali,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!” Halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!” Halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Kwa saa moja tu utajiri wako umetoweka!” Halafu manahodha wote na wasafiri wao, wanamaji na wote wanaofanya kazi baharini, walisimama kwa mbali,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Katika muda wa saa moja utajiri wote mkubwa kama huu umeangamia!’ “Kila nahodha, na wote wasafirio kwa meli, na wote wapatao kipato chao kutokana na bahari, watasimama mbali.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Katika muda wa saa moja utajiri wote mkubwa kama huu umeangamia!’ “Kila nahodha, na wote wasafirio kwa meli, na wote wapatao kipato chao kutokana na bahari, watasimama mbali.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 18:17
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini yule akida akawasikiliza nakhodha na mwenye merikebu zaidi ya yale aliyoyasema Paolo.

Na zile pemlbe kumi ulizoziona ni wafalme, ambao hawajaupokea ufalme bado, lakini wapokea mamlaka kama wafalme kwa saa moja pamoja na yule nyama.

Na zile pembe kumi ulizoziona juu ya nyama, hao watamchukia yule kahaba, na watamfanya kuwa mkiwa na uchi, watamla nyama yake, watamteketeza kahisa kwa moto.

Wakatupa mavumbi juu ya vichwa vyao, wakalia, wakitoka machozi na kuomboleza, wakisema, Ole, ole wake mji ule ulio mkuu, ambao ndani yake wote wenye merikebu katika bahari walipata mali kwa utajiri wake; kwa kuwa katika saa moja umekuwa ukiwa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo