Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 18:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 wakisema, Ole, ole wake mji ule mkuu uliovikwa katani, na porfuro, na nguo nyekundu, na kupambwa kwa dhahabu na kito cha thamani na lulu;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 wakisema, “Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 wakisema, “Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 wakisema, “Ole! Ole kwa mji huu mkuu. Ulizoea kuvalia nguo za kitani, za rangi ya zambarau na nyekundu, na kujipamba kwa dhahabu, mawe ya thamani na lulu!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 wakisema: “ ‘Ole! Ole, ee mji mkuu, uliyekuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, ya rangi ya zambarau na nyekundu, ukimetameta kwa dhahabu, vito vya thamani na lulu!

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 “ ‘Ole! Ole, ee mji mkubwa, uliyekuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, ya rangi ya zambarau na nyekundu, ukimetameta kwa dhahabu, vito vya thamani na lulu!

Tazama sura Nakili




Ufunuo 18:16
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akanichukua katika Roho hatta jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu va nyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya ukafiri, mwefiye vichwa saba na pembe kumi.


Na mwanamke yule alikuwa ameliwa nguo ya porfuro, na nyekuudu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, mwenye kikombe cha dhahabu mkononi mwake kilichojawa na machukizo na machafu ya uasharati wake,


wakalia sana, walipouona moshi wa kuungua kwake, wakisema, Ni mji upi ulio mfano wa mji huu mkubwa!


Wakatupa mavumbi juu ya vichwa vyao, wakalia, wakitoka machozi na kuomboleza, wakisema, Ole, ole wake mji ule ulio mkuu, ambao ndani yake wote wenye merikebu katika bahari walipata mali kwa utajiri wake; kwa kuwa katika saa moja umekuwa ukiwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo