Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 18:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Na wafanyi biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwsike, watasimama mbali, kwa khofu yii maumivu yako, wakilia na kuomboleza,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Wafanyabiashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Wafanyabiashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Wafanyabiashara waliotajirika kutokana na mji huo, watasimama mbali kwa sababu ya hofu ya mateso yake, watalalamika na kuomboleza,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wale wafanyabiashara waliotajirika kwa bidhaa hizo kutoka kwake watasimama mbali naye kwa hofu kubwa ya mateso yanayompata. Watalia na kuomboleza,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wale wafanyabiashara waliotajirika kwa bidhaa hizo kutoka kwake watasimama mbali naye kwa hofu kubwa ya mateso yanayompata. Watalia na kuomboleza wakipiga kelele wakisema:

Tazama sura Nakili




Ufunuo 18:15
14 Marejeleo ya Msalaba  

Akafundisha, akiwaambia, Haikuandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote? Bali nanyi mmeifanya kuwa pango ya wanyangʼanyi.


Bassi bwana zake walipoona ya kuwa tumaini la faida yao limewapotea, wakawakamata Paolo na Sila, wakawakokota hatta sokoni mbele ya wakuu wa mji;


bidhaa ya dhahahu, na fedha, na jito lenye thamani, na lulu, na katani, na porfuro, na hariri, na nguo nyekundu; na killa mti wa uudi, na killa chombo cha pembe, na killa chombo cha mti wa thamani nyingi na cha shaba na cha chuma na cha marimari:


na mdalasini, na uvumba, na marhamu, na ubani, na mvinyo, na mafuta ya mzeituni, na unga mzuri, na nganu, na ngʼombe, na kondoo, na farasi, na magari, na miili na roho za wana Adamu.


Na matunda yaliyotamaniwa na roho yako yamekuondokea; na vitu vyote vilivyo laini na vitu vya fakhari vimekuondokea; wala hulaviona tena kamwe.


Wakatupa mavumbi juu ya vichwa vyao, wakalia, wakitoka machozi na kuomboleza, wakisema, Ole, ole wake mji ule ulio mkuu, ambao ndani yake wote wenye merikebu katika bahari walipata mali kwa utajiri wake; kwa kuwa katika saa moja umekuwa ukiwa.


kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasharati wake, na wafalme wa inchi wamezini nae, na matajiri ya inchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo