Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 18:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 bidhaa ya dhahahu, na fedha, na jito lenye thamani, na lulu, na katani, na porfuro, na hariri, na nguo nyekundu; na killa mti wa uudi, na killa chombo cha pembe, na killa chombo cha mti wa thamani nyingi na cha shaba na cha chuma na cha marimari:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 hakuna tena wa kununua dhahabu yao, fedha, mawe ya thamani na lulu, kitani na nguo za rangi ya zambarau, hariri na nguo nyekundu; vyombo vya kila aina ya miti ya pekee, vyombo vya pembe za ndovu, vya miti ya thamani kubwa, vya shaba, chuma na marumaru;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 hakuna tena wa kununua dhahabu yao, fedha, mawe ya thamani na lulu, kitani na nguo za rangi ya zambarau, hariri na nguo nyekundu; vyombo vya kila aina ya miti ya pekee, vyombo vya pembe za ndovu, vya miti ya thamani kubwa, vya shaba, chuma na marumaru;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Bidhaa za dhahabu, za fedha, za vito vya thamani na vya lulu, kitani safi, nguo za rangi ya zambarau, hariri, nguo nyekundu, aina zote za miti ya udi, na vifaa vyote vya pembe za ndovu, vifaa vyote vya miti yenye thamani kuliko yote, shaba, chuma na marumaru,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Bidhaa za dhahabu, za fedha, za vito vya thamani na vya lulu, kitani safi, nguo za rangi ya zambarau, hariri, nguo nyekundu, aina zote za miti ya udi, na vifaa vyote vya pembe za ndovu, vifaa vyote vya miti yenye thamani kuliko yote, shaba, chuma na marmar,

Tazama sura Nakili

Ufunuo 18:12
8 Marejeleo ya Msalaba  

Akanichukua katika Roho hatta jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu va nyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya ukafiri, mwefiye vichwa saba na pembe kumi.

Na mwanamke yule alikuwa ameliwa nguo ya porfuro, na nyekuudu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, mwenye kikombe cha dhahabu mkononi mwake kilichojawa na machukizo na machafu ya uasharati wake,

Na wafanyi biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwsike, watasimama mbali, kwa khofu yii maumivu yako, wakilia na kuomboleza,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo