Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 18:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Na matajiri wa inchi walia na kumwombolezea kwa sababu hapana mtu anunuae bidhaa yake tena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumfanyia matanga, maana hakuna mtu anayenunua tena bidhaa zao;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumwomboleza kwa sababu hakuna anunuaye bidhaa zao tena:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “Wafanyabiashara wa dunia watalia na kumwomboleza kwa sababu hakuna anunuaye bidhaa zao tena:

Tazama sura Nakili




Ufunuo 18:11
18 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini hawakujali, wakaenda zao, mmoja shambani kwake, mmoja kwenye biashara yake:


akawaambia wale waliokuwa wakiuza njiwa, Yaondoem haya: msiifanye nyumba ya Baba yangu kuwa nyumba ya biashara.


Na katika kutamani watajipatia faida kwenu kwa maneno yaliyotungwa: hukumu yao tangu zamani haikawii, wala upotevu wao hausinzii.


Na wafanyi biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwsike, watasimama mbali, kwa khofu yii maumivu yako, wakilia na kuomboleza,


Furahini juu yake, enyi mbingu, na ninyi watakatifu na mitume na manabii, kwa maana Mungu amehukumu hukumu yenu juu yake.


wala nuru ya taa haitamulika ndani yako tena kabisa, wala sauti ya bwana arusi na bibi arusi haitasikiwa ndani yako tena kabisa; maana wafanyi biashara wako walikuwa wakuu wa inchi, kwa kuwa mataifa yote wamedanganywa kwa uchawi wako.


kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasharati wake, na wafalme wa inchi wamezini nae, na matajiri ya inchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.


Na wafalme wa inchii waliozini nae na kufanya anasa pamoja nae, watalia na kumwombolezea; wauonapo moshi wa kuumgua kwake,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo