Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 17:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Hawa wana shauri amoj, nao wampa yule nyama nguvu zao na mamlaka yao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Shabaha ya hawa kumi ni moja, na watampa yule mnyama nguvu na mamlaka yao yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Shabaha ya hawa kumi ni moja, na watampa yule mnyama nguvu na mamlaka yao yote.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Shabaha ya hawa kumi ni moja, na watampa yule mnyama nguvu na mamlaka yao yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Hawa wana nia moja, nao watamwachia yule mnyama nguvu zao na mamlaka yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Hawa wana nia moja, nao watamwachia yule mnyama nguvu zao na mamlaka yao.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 17:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

illi wafanye yote ambayo mkono wako na mashauri yako yamekusudia tangu zamani yatokee.


Lakini mwenendo wenu uwe kama inavyoipasa Injili ya Kristo, illi, nikija na kuwaona ninyi, au nisipokuwapo, niyasikie mambo yenu, kama mnasimama imara katika roho moja, kwa moyo mmoja mkiishindania imani ya Injili;


ijalizeni furaha yangu, illi mwe na nia moja, wenye mapenzi mamoja, wenye roho moja, mkinia mamoja.


Hawa watafanya vita na Mwana kondoo, na Mwana kondoo atawashinda, kwa maana ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme; nao walioitwa wateule, waaminifu, watashinda pamoja nae.


Maana Muugu ametia mioyoni mwao kufanya shauri lake, na kufanya shauri moja, na kumpa yule nyama ufalme hatta maneno ya Mungu yatimizwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo