Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 16:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Malaika wa tatu akakimimina kichupa chake juu mito, na chemchemi za maji, zikawa damu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Malaika wa tatu akamwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, navyo vikageuka damu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Malaika wa tatu akalimwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, nazo zikawa damu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Malaika wa tatu akalimwaga bakuli lake katika mito na chemchemi za maji, nazo zikawa damu.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 16:4
10 Marejeleo ya Msalaba  

Hawa wana mamlaka kuzifunga mbingu, illi mvua isinye katika siku za unabii wao. Na wana mamlaka juu ya maji kuyagenza kuwa damu, na kuipiga inchi kwa killa pigo, killa watakapo.

akasema kwa sauti kuu, Mcheni Mungu, kamtukuzeni, maana saa ya hukumu yake imekuja. Kamsujuduni yeye aliyezifanya mbingu na inchi na bahari na chemchemi za maji.

Nikamsikia malaika wa maji akisema, Wewe u mwenye haki, ee Bwana, ulioko, uliyekuwako, mtakatifu, kwa kuwa umehukumu hivu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo