Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 16:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Akawakusanya hatta maliali paitwapo kwa Kiebrania, Armageddon.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Basi, roho hao wakawakusanya hao wafalme mahali paitwapo kwa Kiebrania Harmagedoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Basi, roho hao wakawakusanya hao wafalme mahali paitwapo kwa Kiebrania Harmagedoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Basi, roho hao wakawakusanya hao wafalme mahali paitwapo kwa Kiebrania Harmagedoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Ndipo wakawakusanya wafalme pamoja mahali paitwapo Har-Magedoni kwa Kiebrania.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Ndipo wakawakusanya wafalme pamoja mahali paitwapo Armagedoni kwa Kiebrania.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 16:16
14 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi Pilato, aliposikia maneno haya, akamleta Yesu nje, akaketi juu ya kiti, mahali paitwapo Sakafu ya mawe, na kwa Kiebrania Gabbatha.


akatoka, akijichukulia msalaba wake, hatta mahali paitwapo pa kichwa, na kwa Kiebrania Golgotha;


Na huko Yerusalemi penye mlango wa kondoo pana birika, iitwayo kwa Kiehrania Bethesda, nayo ina matao matano.


Tukaanguka chini sote, nikasikia sauti ikisema nami kwa lugha ya Kiebrania, Saul! Saul! ya nini kunindhi? ni vigumu kwako kunpiga mateke mchokoo.


Hawa watafanya vita na Mwana kondoo, na Mwana kondoo atawashinda, kwa maana ni Bwana wa Mabwana, na Mfalme wa Wafalme; nao walioitwa wateule, waaminifu, watashinda pamoja nae.


Na juu yao wana mfalme, malaika wa abuso, jina lake kwa Kiebrania Abaddon, na kwa Kiyunani jina lake Apollion.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo