Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 16:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Malaika wa sita akakimimina kichupa chake juu ya mto ule mkubwa Eufrate, maji yake yakakauka illi njia itengenezwe kwa wafalme watokao katika maawio ya jua.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Kisha, malaika wa sita akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji yake yakakauka, na hivyo njia ikawekwa kwa ajili ya wafalme kutoka mashariki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Kisha, malaika wa sita akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji yake yakakauka, na hivyo njia ikawekwa kwa ajili ya wafalme kutoka mashariki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Kisha, malaika wa sita akamwaga bakuli lake juu ya mto mkubwa uitwao Eufrate. Maji yake yakakauka, na hivyo njia ikawekwa kwa ajili ya wafalme kutoka mashariki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Malaika wa sita akamimina bakuli lake kwenye mto mkubwa Frati, maji yake yakakauka ili kutayarisha njia kwa ajili ya wafalme kutoka Mashariki.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Malaika wa sita akamimina bakuli lake kwenye mto mkubwa Frati, maji yake yakakauka ili kutayarisha njia kwa ajili ya wafalme watokao Mashariki.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 16:12
15 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wa pili umekwisha pita, tazama ole wa tatu anakuja upesi.

Akaniambia, Yale maji uliyoyaona, aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.

Nikaona malaika mwingine, akipanda kutoka maawio ya jua, mwenye muhuri ya Mungu aliye hayi: akawapigia kelele kwa sauti kuu wale malaika wane waliopewa kuidhuru inchi na bahari,

ikimwambia yule malaika wa sita aliyekuwa na baragumu, Wafungue malaika wane waliofungwa kwenye mto mkubwa Eufrati.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo