Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 15:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Na baada ya haya nikaona, na, tazama, hekalu ya khema ya ushuhuda katika mbingu ilifunguliwa;

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Baada ya hayo nikaona hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ya kuwapo kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Baada ya hayo nikaona hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ya kuwapo kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Baada ya hayo nikaona hekalu limefunguliwa mbinguni, na ndani yake hema ya kuwapo kwa Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Baada ya haya nikatazama, nalo Hekalu la Hema la Ushuhuda lilikuwa limefunguliwa mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Baada ya haya nikatazama, nalo hekalu, la hema la Ushuhuda, lilikuwa limefunguliwa mbinguni.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 15:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na tazama pazia la hekalu likapasuka vipande viwili toka juu hatta chini: inchi ikatetema; miamba ikapasuka;


watumikao kwa mfano na kivuli cha mambo ya mbinguni, kama Musa alivyoagizwa na Mungu, alipokuwa tayari kuifanya ile khema; maana asema, Angalia ukavifanye vitu vyote kwa mfano ule ulioonyeshwa katika mlima.


Hekalu ya Mungu ikafunguliwa mbinguni na sanduku la agano likaonekana ndani ya hekalu yake. Kukawa umeme, na sauti, na radi, na tetemeko, na mvua ya mawe uyingi sana.


Akafunna kinywa chake amtukane Mungu, na kulitukana jina lake, na maskani yake, nao wakaao mbinguni.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo