Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 14:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Malaika yule akautupa mundu wake hatta inchi, akauchuma mzabibu wa inchi, akatupa katika shinikizo la hasira ya Mungu, lile kubwa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Basi, malaika huyo akautupa mundu wake duniani, akakata zabibu za dunia, akazitia ndani ya chombo kikubwa cha kukamulia zabibu, chombo cha ghadhabu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Basi, malaika huyo akautupa mundu wake duniani, akakata zabibu za dunia, akazitia ndani ya chombo kikubwa cha kukamulia zabibu, chombo cha ghadhabu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Basi, malaika huyo akautupa mundu wake duniani, akakata zabibu za dunia, akazitia ndani ya chombo kikubwa cha kukamulia zabibu, chombo cha ghadhabu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Hivyo yule malaika akauzungusha mundu wake duniani na kukusanya zabibu za dunia na kuzitupa kwenye shinikizo kubwa la ghadhabu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Hivyo yule malaika akauzungusha mundu wake duniani na kukusanya zabibu za dunia na kuzitupa kwenye shinikizo kubwa la ghadhabu ya Mungu.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 14:19
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na malaika mwingine akatoka katika ile madhbabu, mwenye mamlaka juu ya moto; kwa sauti kuu akamlilia yule mwenye mundu ule mkali, akisema, Tia mundu wako mkali, ukachume matawi va mzabibu wa inchi, maana zabibu zake zimewiva sana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo