Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 14:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Hapo ndipo penye uvumilivu wa watakatifu wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Hivyo, ni lazima watu wa Mungu, yaani wale wanaotii amri za Mungu na kumwamini Yesu, wawe na uvumilivu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Hivyo, ni lazima watu wa Mungu, yaani wale wanaotii amri za Mungu na kumwamini Yesu, wawe na uvumilivu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Hivyo, ni lazima watu wa Mungu, yaani wale wanaotii amri za Mungu na kumwamini Yesu, wawe na uvumilivu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Hapa ndipo penye wito wa subira na uvumilivu wa watakatifu; wale wanaozishika amri za Mungu na kudumu katika uaminifu kwa Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Hapa ndipo penye wito wa subira na uvumilivu wa watakatifu; wale wanaozishika amri za Mungu na kudumu katika uaminifu kwa Isa.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 14:12
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nimevifanya vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda;

Na hivi twajua ya kuwa tumemjua, ikiwa tunashika amri zake.

Joka akamkasirikia mwanamke akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo.

Mtu akichukua mateka achukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hivyo ndivyo uvumilivu na imani ya watakatifu.

Napajua ukaapo, ndipo penye kiti cha Shetani: nawe walishika sana jina langu, wala hukuikana imani yangu, hatta katika siku za Antipa shahidi wangu mwaminifu, aliyeuawa kati yenu, hapo akaapo Shetani.

Kwa kuwa ulilishika neno la uvumilivu wangu, mimi nami nitakulinda, utoke katika saa ya kujaribiwa iliyo tayari kuujia ulimwengu wote, kuwajaribu wakaao juu ya inchi.

Najua matendo yako. Tazama, nimekupa mlango uliofunguliwa mbele yako, wala hapana awezae kuufunga, kwa kuwa unazo nguvu kidogo, nawe ulilitunza neno langu, wala hukulikana jina langu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo