Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 13:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Hapo udipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya nyama huyo: maana ni hesabu ya mwana Adamu; na hesabu yake ni Sita mia, sittini na sita.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Hapa panatakiwa hekima! Mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu ya mnyama huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. Tarakimu hiyo ni 666.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Hapa panatakiwa hekima! Mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu ya mnyama huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. Tarakimu hiyo ni 666.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Hapa panatakiwa hekima! Mwenye akili anaweza kufafanua maana ya tarakimu ya mnyama huyo, maana ni tarakimu yenye maana ya mtu fulani. Tarakimu hiyo ni 666.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na ufahamu na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni mia sita sitini na sita (666).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na ufahamu na ahesabu tarakimu za huyo mnyama, kwa maana ni tarakimu za kibinadamu. Tarakimu zake ni 666.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 13:18
10 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini mlionapo chukizo la uharibifu (lile lililoneuwa ua nabii Danieli) likisimama pasipolipasa (asomae na afahamu) ndipo walio katika Yahudi wakimbilie milimani;


Lakini, ikiwa udhalimu wetu waithubutisha hakiya Mungu, tuseme nini? Mungu ni dhalimu aletae ghadhabu? (Nasema kwa jinsi ya kibin-Adamu.)


Yu kheri asomae, nao wayasikiao maneno ya unabii huu na kuyafanya yaliyoandikwa humo: maana wakati ni karibu.


Nikaona kama mfano wa bahari ya kioo iliyochangamana na moto, nao wenye kushinda, na kujiepusha na yule nyama na sanamu yake na alama yake, na hesabu ya jina lake, wamesimama juu ya bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu.


Hapo ndipo penye akili zenye hekima. Vile vichwa saba ni milima saba anayokalia mwanamke yule.


Akaupima ukuta wake, ni dhiraa misi na arubaini na nne, kwa kipimo cha mwana Adamu, maana yake, cha malaika,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo