Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 12:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 nao bawakushinda wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Lakini joka hilo na malaika wake walishindwa, na hatimaye hapakuwa tena na nafasi mbinguni kwa ajili yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Lakini joka hilo na malaika wake walishindwa, na hatimaye hapakuwa tena na nafasi mbinguni kwa ajili yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Lakini joka hilo na malaika wake walishindwa, na hatimaye hapakuwa tena na nafasi mbinguni kwa ajili yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Lakini joka na malaika wake wakashindwa, na hapakuwa tena na nafasi yao huko mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Lakini joka na malaika zake wakashindwa, na hapakuwa tena na nafasi yao huko mbinguni.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 12:8
18 Marejeleo ya Msalaba  

Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na jun ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; na milango ya kuzimu haitalishinda.


atwae sehemu yake ya khuduma hii na utume huu, alioukosa Yuda aende zake mahali pake.


Na malaika wasioilinda enzi yao, wakayaacha makao yao, amewaweka kwa hukumu ile kuu katika vifungo vya milele chini ya giza.


Nao wakamshinda kwa damu ya Mwana kondoo, na kwa neno la ushuhuda wao; wala hawakupenda maisha yao hatta wakati wa kufa.


Kulikuwa na vita mbinguni: Mikael na malaika zake wakipigana na joka, joka akapigana nao pamoja na malaika zake;


Joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwae Msingiziaji na Shetani, audanganyae ulimwengu wote; akatupwa hatta inchi, na malaika zake wakatupwa pamoja nae.


Nikaona kiti eba enzi, cheupe, kikubwa, nae aketiye juu yake; inchi na mbingu zikakimbia nso wake, na mahali pao hapakuonekana.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo