Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 12:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Yule mwanamke akakimbilia nyikani ambapo ana mahali palipotengenezwa na Mungu, illi wamlishe huku siku elfu na miateen na sittini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Huyo mama akakimbilia jangwani ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali pa usalama ambapo angehifadhiwa kwa muda wa siku 1,260.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Huyo mama akakimbilia jangwani ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali pa usalama ambapo angehifadhiwa kwa muda wa siku 1,260.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Huyo mama akakimbilia jangwani ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali pa usalama ambapo angehifadhiwa kwa muda wa siku 1,260.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Yule mwanamke akakimbilia jangwani, ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali ili apate kutunzwa huko kwa muda wa siku elfu moja mia mbili na sitini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Yule mwanamke akakimbilia jangwani, ambako Mungu alikuwa amemtayarishia mahali ili apate kutunzwa huko kwa muda wa siku 1,260.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 12:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Shetani akamwacha; wakaja malaika wakamtumikia.


Mwanamke yule akapewa mabawa mawili kama ya tai yule mkubwa, illi aruke, aende zake nyikani hatta mahali pake, bapo alishwapo wakati na nyakati na nussu ya wakati, mbali ya nyoka huyo.


Na mkia wake wakokota thuluth ya nyota za mbinguni na kuziangusha katika inchi.


Akapewa kinywa kunena maneno makuu, ya ukafiri. Akapewa uwezo kufanya kazi yake miezi arubaini na miwili.


Akanichukua katika Roho hatta jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu va nyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya ukafiri, mwefiye vichwa saba na pembe kumi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo