Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 12:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 Nae alikuwa ana mimba, akilia, akiwa ana utungu na kuumwa katika kuzaa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Alikuwa mjamzito, naye akapaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Alikuwa mjamzito, naye akapaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Alikuwa mjamzito, naye akapaza sauti kwa maumivu na uchungu wa kujifungua mtoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Alikuwa na mimba naye akilia kwa uchungu kwa kuwa alikuwa anakaribia kuzaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Alikuwa na mimba naye akilia kwa uchungu kwa kuwa alikuwa anakaribia kuzaa.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 12:2
12 Marejeleo ya Msalaba  

Haya yote ni mwanzo wa utungu.

Mwanamke azaapo, yuna huzuni kwa kuwa saa yake imekuja; hatta, akiisha kuzaa mwana, haikumbuki tena shidda, kwa sababu ya furaha ya kuzaliwa mtu ulimwenguni.

Vitoto vyangu, ambao nawaonea utungu tena mpaka Kristo aumbike ndani yenu.

Kwa maana imeandikwa, Fanya furaha, tassa usiyezaa; Paaza sauti, ukalie, wewe usiye na utungu; Kwa sababu watoto wake aliyeachwa ni wengi kuliko wake aliye na mume.

Na mkia wake wakokota thuluth ya nyota za mbinguni na kuziangusha katika inchi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo