Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 12:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Inchi ikamsaidia mwanamke, inchi ikafunua kinywa chake, ikaumeza mto ule alioutoa yule joka katika kinywa chake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Lakini nchi ikamsaidia huyo mama: Ikajifunua kama mdomo na kuyameza maji hayo yaliyotoka kinywani mwa hilo joka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Lakini nchi ikamsaidia huyo mama: Ikajifunua kama mdomo na kuyameza maji hayo yaliyotoka kinywani mwa hilo joka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Lakini nchi ikamsaidia huyo mama: ikajifunua kama mdomo na kuyameza maji hayo yaliyotoka kinywani mwa hilo joka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini nchi ikamsaidia huyo mwanamke kwa kufungua kinywa na kuumeza huo mto ambao lile joka lilikuwa limeutoa kinywani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini nchi ikamsaidia huyo mwanamke kwa kufungua kinywa na kuumeza huo mto ambao huyo joka alikuwa ameutoa kinywani mwake.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 12:16
6 Marejeleo ya Msalaba  

Viongozi vipofu, wenye kuchuja mbu na kumeza ngamia.


Nyoka akatoa katika kinywa chake, nyunia ya mwanamke, maji kama mto, amfanye kuchukuliwa na mto ule.


Joka akamkasirikia mwanamke akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu Kristo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo