Ufunuo 12:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192115 Nyoka akatoa katika kinywa chake, nyunia ya mwanamke, maji kama mto, amfanye kuchukuliwa na mto ule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, joka likatapika maji mengi kama mto, yakamfuata huyo mama nyuma ili yamchukue. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ndipo lile joka likamwaga maji kama mto kutoka kinywani mwake, ili kumfikia huyo mwanamke, achukuliwe na mafuriko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ndipo lile joka likamwaga maji kama mto kutoka kinywani mwake, ili kumfikia huyo mwanamke na kumkumba kama mafuriko. Tazama sura |