Ufunuo 12:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Na joka yule alipoona ya kuwa ametupwa katika inchi alimwudhi mwanamke yule aliyemzaa mtoto mwanamume. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Joka lilipotambua kwamba limetupwa chini duniani, likaanza kumwinda yule mama aliyekuwa amejifungua mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Joka lilipotambua kwamba limetupwa chini duniani, likaanza kumwinda yule mama aliyekuwa amejifungua mtoto wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Joka lilipotambua kwamba limetupwa chini duniani, likaanza kumwinda yule mama aliyekuwa amejifungua mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Lile joka lilipoona kuwa limetupwa chini duniani, lilimfuatilia yule mwanamke aliyekuwa amezaa mtoto wa kiume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Lile joka lilipoona kuwa limetupwa chini duniani, lilimfuatilia yule mwanamke aliyekuwa amezaa mtoto mwanaume. Tazama sura |