Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 11:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Hawo ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili visimamavyo mbele ya Mungu wa inchi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya Bwana wa dunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya Bwana wa dunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Hao mashahidi wawili ni miti miwili ya mizeituni na taa mbili zinazosimama mbele ya Bwana wa dunia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Hawa ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili vya taa visimamavyo mbele za Mwenyezi Mungu, Mungu wa dunia yote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Hawa ndio ile mizeituni miwili na vile vinara viwili vya taa visimamavyo mbele za Bwana Mwenyezi Mungu wa dunia yote.

Tazama sura Nakili




Ufunuo 11:4
14 Marejeleo ya Msalaba  

Hapana mtu awashae taa na kuiweka mahali pa siri au chini va pishi, bali huiweka juu ya kibao cha kuwekea taa: illi waingiao wanone mwanga.


Kwa hiyo kesheni killa wakati, mkiomba mpate kuhesabiwa kuwa mmestahili kuponea haya yote yatakayokuwa, na kusimama mahali penu mbele ya Mwana wa Adamu.


Lakini iwapo matawi mengine yamekatiwa, na wewe mzeituni mwitu ulitiwa kati yao ukawa mshirika wa shina la mzeituni na unono wake,


Siri ya zile nyota saba ulizoziona katika mkono wangu wa kuume, na ya vile vinara saba vya dhababu. Zile nyota saba ni malaika wa yale makanisa saba, na vile vinara saba ulivyoviona ni makanisa saba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo