Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 10:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Nikamwendea malaika yule nikamwambia, Nipe kile kitabu kidogo. Akaniambia, Kitwae, ukile, nacho kitakutia uchungu tumboni mwako, bali katika kinywa chako kitakuwa kitamu kama asali.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Basi, nikamwendea huyo malaika, nikamwambia anipe hicho kitabu kidogo. Naye akaniambia, “Kichukue, ukile. Kinywani mwako kitakuwa kitamu kama asali, lakini tumboni kitakuwa kichungu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Basi, nikamwendea huyo malaika, nikamwambia anipe hicho kitabu kidogo. Naye akaniambia, “Kichukue, ukile. Kinywani mwako kitakuwa kitamu kama asali, lakini tumboni kitakuwa kichungu!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Basi, nikamwendea huyo malaika, nikamwambia anipe hicho kitabu kidogo. Naye akaniambia, “Kichukue, ukile. Kinywani mwako kitakuwa kitamu kama asali, lakini tumboni kitakuwa kichungu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Basi nikamwendea nikamwomba yule malaika anipe kile kijitabu. Akaniambia, “Chukua na ukile. Kitakuwa kichungu tumboni mwako, lakini kinywani mwako kitakuwa kitamu kama asali.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Basi nikamwendea nikamwomba yule malaika anipe kile kitabu kidogo. Akaniambia, “Chukua na ukile. Kitakuwa kichungu tumboni mwako, lakini kinywani mwako kitakuwa kitamu kama asali.”

Tazama sura Nakili

Ufunuo 10:9
7 Marejeleo ya Msalaba  

kwa ajili ya hayo ghadhabu ya Mungu huwafikia wana wa kuasi.

Nikakitwaa kile kitabu kidogo katika mkono wa malaika yule nikakila; nacho kikawa kitamu kama asali katika kinywa changu, na nilipokwisha kukila tumbo langu likatiwa uchungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo