Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Ufunuo 10:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Akaniambia, Imekupasa kutoa unabii tena juu ya watu na taifa na lugha na wafalme wengi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Kisha, nikaambiwa, “Inakubidi tena kutoa unabii kuhusu watu wengi, mataifa, watu wa lugha nyingi na wafalme!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Kisha, nikaambiwa, “Inakubidi tena kutoa unabii kuhusu watu wengi, mataifa, watu wa lugha nyingi na wafalme!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Kisha, nikaambiwa, “Inakubidi tena kutoa unabii kuhusu watu wengi, mataifa, watu wa lugha nyingi na wafalme!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Kisha nikaambiwa, “Imekupasa kutoa unabii tena kuhusu makabila mengi, mataifa, lugha na wafalme.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Kisha nikaambiwa, “Imekupasa kutoa unabii tena kuhusu makabila mengi, mataifa, lugha na wafalme.”

Tazama sura Nakili




Ufunuo 10:11
13 Marejeleo ya Msalaba  

Nikakitwaa kile kitabu kidogo katika mkono wa malaika yule nikakila; nacho kikawa kitamu kama asali katika kinywa changu, na nilipokwisha kukila tumbo langu likatiwa uchungu.


NIKAPEWA mwanzi kama ufito mmoja, akaniambia, Inuka, ukaipime hekalu ya Mungu, na madhbabu, nao wasujuduo humo.


Na watu wa hawo jamaa na kabila na lugha na taifa wataitazama mizoga yao siku tatu u nussu, wala hawataiacha mizoga yao kuwekwa kaburini.


Nikaona malaika niwingine akiruka kati kati ya mbingu, mwenye injili ya milele, awakhubiri wakaao juu ya inchi na killa taifa na kabila na lugha na jamaa,


Navyo ni wafalme saba. Watano wamekwisha kuanguka, na mmoja yupo, na mwingine hajaja bado. Nae atakapokuja imempasa kukaa muda mchache.


Na zile pemlbe kumi ulizoziona ni wafalme, ambao hawajaupokea ufalme bado, lakini wapokea mamlaka kama wafalme kwa saa moja pamoja na yule nyama.


Akaniambia, Yale maji uliyoyaona, aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha.


Nao waimba uimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulicbinjwa


Tufuate:

Matangazo


Matangazo