Ufunuo 10:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Nikakitwaa kile kitabu kidogo katika mkono wa malaika yule nikakila; nacho kikawa kitamu kama asali katika kinywa changu, na nilipokwisha kukila tumbo langu likatiwa uchungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Basi, nikakichukua kitabu hicho kidogo kutoka mkononi mwa huyo malaika, nikakila. Nacho kilikuwa kitamu kinywani mwangu kama asali, lakini nilipokimeza kikawa kichungu tumboni mwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Basi, nikakichukua kitabu hicho kidogo kutoka mkononi mwa huyo malaika, nikakila. Nacho kilikuwa kitamu kinywani mwangu kama asali, lakini nilipokimeza kikawa kichungu tumboni mwangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Basi, nikakichukua kitabu hicho kidogo kutoka mkononi mwa huyo malaika, nikakila. Nacho kilikuwa kitamu kinywani mwangu kama asali, lakini nilipokimeza kikawa kichungu tumboni mwangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Hivyo nikakichukua kile kijitabu kutoka mkononi mwa yule malaika, nikakila. Kilikuwa kitamu kama asali kinywani mwangu, lakini baada ya kukila, tumbo langu likatiwa uchungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Hivyo nikakichukua kile kitabu kidogo kutoka mkononi mwa yule malaika nikakila. Kilikuwa kitamu kama asali kinywani mwangu, lakini baada ya kukila, tumbo langu likatiwa uchungu. Tazama sura |