Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 1:3 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

3 Yu kheri asomae, nao wayasikiao maneno ya unabii huu na kuyafanya yaliyoandikwa humo: maana wakati ni karibu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Heri yake mtu anayesoma kitabu hiki chenye maneno ya ujumbe wa kinabii; na heri yao wanaosikia na kushika yaliyoandikwa humu, maana wakati wa mambo haya umekaribia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Heri yake mtu anayesoma kitabu hiki chenye maneno ya ujumbe wa kinabii; na heri yao wanaosikia na kushika yaliyoandikwa humu, maana wakati wa mambo haya umekaribia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Heri yake mtu anayesoma kitabu hiki chenye maneno ya ujumbe wa kinabii; na heri yao wanaosikia na kushika yaliyoandikwa humu, maana wakati wa mambo haya umekaribia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Amebarikiwa yeye asomaye maneno ya unabii huu, na wamebarikiwa wale wanaoyasikia na kuyatia moyoni yale yaliyoandikwa humo, kwa sababu wakati umekaribia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Amebarikiwa yeye asomaye maneno ya unabii huu, na wamebarikiwa wale wanaoyasikia na kuyatia moyoni yale yaliyoandikwa humo, kwa sababu wakati umekaribia.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 1:3
15 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi mlionapo chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama mahali patakatifu (asomae afahamu),

Lakini yeye akasema, Bali afadhali wa kheri wenye kulisikia neno la Mungu na kulishika.

Na hayo, tukiujua wakati, kwamba saa ya kuamka katika usingizi imekwisha kuwadia: kwa maana sasa wokofu u karibu yetu kuliko tulipoamini.

Usiku unakwisha, mchana umekaribia; bassi tuyavue matendo ya giza, tuzivae silaha za nuru.

Mwisho wa mamho yote umekaribia; bassi, mwe na akili, mkakeshe katika sala:

Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu kama siku moja.

Akaniambia, Msiyatie muhuri maneno ya unabii wa kitabu hiki, kwa maana wakati huo umekaribia.

Tazama, naja upesi, na ujira wangu u pamoja nami kumlipa killa mtu kama itakavyokuwa kazi yake.

Yeye mwenye kuyashuhudia haya asema, Naam; Naja upesi. Amin: na uje Bwana Yesu.

Tazama, naja upesi. Shika sana ulicho nacho asije mtu akaitwaa taji yako.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo