Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Ufunuo 1:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu nyeupe, kama thuluji; na macho yake kama mwako wa moto:

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba nyeupe, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba nyeupe, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto;

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Nywele zake zilikuwa nyeupe kama pamba nyeupe, kama theluji; macho yake yalimetameta kama moto;

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu, nyeupe kama theluji, nayo macho yake yalikuwa kama mwali wa moto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kichwa chake na nywele zake zilikuwa nyeupe kama sufu, nyeupe kama theluji, nayo macho yake yalikuwa kama mwali wa moto.

Tazama sura Nakili

Ufunuo 1:14
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na sura yake ilikuwa kama umeme, na mavazi yake meupe kama thuluji.

Na macho yake yalikuwa kama mwako wa moto, na juu ya kichwa chake vilemba vingi, nae ana jina lililoandikwa, asilolijua mtu illa yeye mwenyewe.

Na kwa malaika wa kanisa lililo katika Thuatera andika, Haya ayanena Mwana wa Mungu, yeye aliye na macho kama mwako wa moto, na miguu yake mfano wa shaba iliyosuguliwa sana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo