Tito 3:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192110 Mtu mzushi, baada ya kumwonya marra ya kwanza na marra ya pili, mkatae; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mtu anayesababisha mafarakano mpe onyo la kwanza na la pili, kisha achana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mtu anayesababisha mafarakano mpe onyo la kwanza na la pili, kisha achana naye. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mtu anayesababisha mafarakano mpe onyo la kwanza na la pili, kisha achana naye. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mtu anayesababisha mafarakano, mwonye mara ya kwanza, kisha mwonye mara ya pili. Baada ya hapo, usihusike naye tena. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Mtu anayesababisha mafarakano, mwonye mara ya kwanza, kisha mwonye mara ya pili. Baada ya hapo, usihusike naye tena. Tazama sura |