Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Tito 2:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 illi wawatie akili wanawake vijana wawapende wanme zao, ka kuwapenda watoto wao,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 ili wawazoezeshe kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 ili wawazoezeshe kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 ili wawazoezeshe kina mama vijana kuwapenda waume zao na watoto,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 ili waweze kuwafundisha wanawake vijana kuwa na kiasi, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 ili waweze kuwafundisha wanawake vijana kuwa na kiasi, wawapende waume zao na kuwapenda watoto wao,

Tazama sura Nakili

Tito 2:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Bali wajane walio vijana nkatae kuwaandika, maana wakiona tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa,

Bassi napenda wajane wasio wazee waolewe, wazae watoto, watawale mambo ya nyumbani, wasimpe adui nafasi ya kulaumu;

wanawake wazee kama mama, wanawake vijana kama ndugu, kwa utakatifu wote.

Na wazee wa kike vivyo hivyo wawe na mwenendo wa utakatifu, wasiwe wasiugiziaji, wasiwe wenye kutumia mvinyo nyingi, bali wafundishao mema;

na kuwa wenye niasi, na kuwa safi, kukaa nyumbani mwao, kuwa wema, kuwatii waume zao weuyewe, illi neno la Muugu lisitukanwe.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo