Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Tito 1:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 ikiwa mtu hakushitakiwa neno, nae ni mume wa mke mmoja, ana watoto waaminio, wasioshitakiwa kuwa ni asharati na wasiotii.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Mzee wa kanisa anapaswa kuwa mtu asiye na hatia; aliye na mke mmoja tu, na watoto wake wanapaswa kuwa waumini, wasiojulikana kuwa wakorofi au wakaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Mzee wa kanisa anapaswa kuwa mtu asiye na hatia; aliye na mke mmoja tu, na watoto wake wanapaswa kuwa waumini, wasiojulikana kuwa wakorofi au wakaidi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 mzee wa kanisa anapaswa kuwa mtu asiye na hatia; aliye na mke mmoja tu, na watoto wake wanapaswa kuwa waumini, wasiojulikana kuwa wakorofi au wakaidi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Mzee wa kundi la waumini asiwe na lawama, awe mume wa mke mmoja, mtu ambaye watoto wake ni waumini, wala hawashtakiwi kwa ufisadi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Kiongozi wa kundi la waumini asiwe na lawama, awe mume wa mke mmoja, mtu ambaye watoto wake ni waaminio na wala hawashtakiwi kwa ufisadi.

Tazama sura Nakili




Tito 1:6
18 Marejeleo ya Msalaba  

Zamani za Herode, mfalme wa Yahudi, palikuwa na kuliani mmoja, jina lake Zakaria, wa zamu ya Abiya: na mkewe alikuwa mmojawapo wa binti Haruni, jina lake Elizabeti.


Tena msilevye kwa mvinyo, kwa kuwa haina kiasi, bali mjazwe Roho;


Twawasihi, ndugu, waonyeni wale wasiokaa kwa taratihu, watieni moyo walio dhaifu, watieni nguvu wanyonge, vumilieni na watu wote.


nawe ufahamu neno hili, ya kuwa sharia haimkhusu mtu wa haki, bali maasi, mi wasio taratihu, na makafiri, na wenye dhambi, na wasio watakatifu, na wasiomcha Mungu, na wauao baba zao, na wauao mama zao, mi wauaji,


Mashemasi wawe na mke mmoja, wakiwasimamia watoto wao vizuri, na nyumba zao.


Maana wako wengi wasiotii, wenye maneno yasiyo maana, wadanganyaji, khassa wale waliotahiriwa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo