Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 9:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Akaondoka, akaenda zuke nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Yule mtu akasimama, akaenda nyumbani mwake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Yule mtu akasimama, akaenda nyumbani kwake.

Tazama sura Nakili




Mathayo 9:7
2 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini illi mjue ya kuwa Mwana wa Adamu yuna mamlaka katika dunia kuondoa dhambi, (amwambia yule mgonjwa wa kupooza) Ondoka, ujitwike kitanda chako, ukaende nyumbani kwako.


Makutano wakimwona, wakastaajabu, wakamtukuza Mungu, aliyewapa watu mamlaka ya jinsi hii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo