Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 9:38 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

38 Bassi mwombeni Bwana wa mavuno, apeleke watenda kazi katika mavuno yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

38 Basi mwombeni mwenye mavuno atume wafanyakazi wavune mavuno yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

38 Basi mwombeni mwenye mavuno atume wafanyakazi wavune mavuno yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

38 Basi mwombeni mwenye mavuno atume wafanyakazi wavune mavuno yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

38 Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili atume watendakazi katika shamba lake la mavuno.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

38 Kwa hiyo mwombeni Mwenyezi Mungu, Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 9:38
15 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akawaambia wanafunzi wake, Mavuno ni makubwa, bali watenda kazi wachache.


Bassi Yesu akawaambia marra ya pili, Amani kwenu; kama Baba alivyonipeleka, nami nawatuma ninyi.


Hamsemi ninyi, Imebaki miezi mine bado, ndipo yaja mavuno? Nami nawaambieni, Inueni macho yenu, mkayatazame mashamba, ya kuwa yamekwisha kuwa meupe tayari kwa mavuno.


Bassi hawa walipokuwa wakimkhudumia Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Niwekeeni Barnaba na Saul kwa kazi ile niliyowaitia.


Lakini wale waliotawanyika wakaenda huko na huko wakilikhubiri neno.


Na Mungu ameweka wengine katika Kanisa, wa kwanza mitume, wa pili manabii, wa tatu waalimu, kiisha miujiza, kiisha karama za kuponya wagonjwa, na masaidiano, na kutawala, na aina za lugha.


Na yeye aliwatoa wengine kuwa mitume; na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti, na wengine kuwa wachungaji, na waalimu,


ILIYOBAKI, ndugu, tuombeeni, neno la Bwana liendelee, likatunzwe vilevile kama ilivyo kwenu;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo