Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 9:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Lakini Mafarisayo wakanena, Kwa mkuu wa pepo afukuza pepo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, “Anawafukuza pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, “Anawafukuza pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Lakini Mafarisayo wakawa wanasema, “Anawafukuza pepo kwa nguvu ya mkuu wa pepo wabaya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Lakini Mafarisayo wakasema, “Huyo anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa mkuu wa pepo wachafu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Lakini Mafarisayo wakasema, “Huyo anatoa pepo wachafu kwa uwezo wa mkuu wa pepo wachafu.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 9:34
9 Marejeleo ya Msalaba  

Yamtosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mwenye nyumba Beelzebul, je, si zaidi wale walio nyumbani mwake?


Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakanena. Yuna pepo.


Wakati ule akaletewa mtu mwenye pepo, kipofu na bubu; akamponya, hatta yule kipofu na bubu akasema na kuona.


Na mimi nikifukuza pepo kwa uweza wa Beelzebul, je! wana wenu wawafukuza kwa uweza wa nani? Kwa sababu hii hawo ndio watakaokuwa waamuzi wenu.


Waandishi walioshuka kutoka Yahudi wakanena, Ana Beelzebul, na kwa uwezo wa mkuu wa pepo awafukuza pepo.


Wengine wao wakasema, Kwa Beelzebul, mkubwa wa pepo atoa pepo.


Maana killa atendae manyonge huichukia nuru, wala haji kwenye nuru, matendo yake yasikemewe;


Makutano wakajibu, wakasema, Una pepo; ni nani anaetafuta kukuua?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo