Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 9:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Hatta wale walipokuwa wakitoka, wakamletea mtu bubu mwenye pepo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea Yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea Yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Watu walipokuwa wanakwenda zao, wengine walimletea Yesu mtu mmoja aliyekuwa bubu kwa sababu alikuwa amepagawa na pepo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Walipokuwa wanatoka, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu na ambaye hakuweza kuongea aliletwa kwa Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Walipokuwa wanatoka, mtu mmoja aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu na ambaye hakuweza kuongea aliletwa kwa Isa.

Tazama sura Nakili

Mathayo 9:32
5 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Na Yesu alikuwa akifukuza pepo bubu. Ikawa yule pepo alipotoka, bubu akasema, makutano wakastaajabu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo