Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 9:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Macho yao yakafumbuka. Yesu akawaagiza kwa nguvu, akinena, Angalieni hatta mtu mmoja asijue.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Macho yao yakafunguliwa. Naye Yesu akawaonya kwa ukali: “Msimwambie mtu yeyote jambo hili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Macho yao yakafunguliwa. Naye Yesu akawaonya kwa ukali: “Msimwambie mtu yeyote jambo hili.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Macho yao yakafunguliwa. Naye Yesu akawaonya kwa ukali: “Msimwambie mtu yeyote jambo hili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Macho yao yakafunguka. Isa akawaonya vikali, akisema, “Chungeni mtu yeyote asijue kuhusu jambo hili.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Macho yao yakafunguka. Isa akawaonya vikali, akisema, “Angalieni mtu yeyote asijue kuhusu jambo hili.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 9:30
13 Marejeleo ya Msalaba  

akawaagiza wasimdhihirishe;


Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu akawaagiza, akinena, Msimwambie mtu khabari ya mambo hayo, hatta Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu.


Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; illa enenda zako, ukajionyeshe kwa kuhani, utoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.


Akamkataza kwa nguvu, marra akamwondosha, akamwambia, Fahamu, usimpe khabari mtu ye yote,


Akawagombeza sana, wasimdhihirishe.


Akawaagiza sana, mtu asijue khabari ile; akaamuru apewe chakula.


Akamwagiza asimwambie mtu: illa enenda, ukajionyeshe kwa kuhani, ukatoe kwa kutakasika kwako alivyoamuru Musa, illi kuwa ushuhuda kwao.


Wazazi wake wakastaajabu sana, akawaamuru wasimwambie mtu lililotukia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo