Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 9:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Alipolika nyumbani, wale vipofu wakamwendea: Yesu akawaambia. Mnaamini kwamba naweza kufanya haya? Wakamwambia, Naam, Bwana.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Yesu alipoingia nyumbani, watu hao wawili wakamwendea, naye akawauliza, “Je, mnaamini kwamba naweza kuwafanyia jambo hilo?” Nao wakamjibu, “Naam, Bwana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Yesu alipoingia nyumbani, watu hao wawili wakamwendea, naye akawauliza, “Je, mnaamini kwamba naweza kuwafanyia jambo hilo?” Nao wakamjibu, “Naam, Bwana.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Yesu alipoingia nyumbani, watu hao wawili wakamwendea, naye akawauliza, “Je, mnaamini kwamba naweza kuwafanyia jambo hilo?” Nao wakamjibu, “Naam, Bwana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Alipoingia mle nyumbani wale vipofu wakamjia. Naye Isa akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kufanya jambo hili?” Wakamjibu, “Ndiyo, Bwana.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Alipoingia mle nyumbani wale vipofu wakamjia. Naye Isa akawauliza, “Mnaamini kwamba ninaweza kufanya jambo hili?” Wakamjibu, “Ndiyo, Bwana.”

Tazama sura Nakili

Mathayo 9:28
14 Marejeleo ya Msalaba  

SIKU ile Yesu akatoka nyumbani, akaketi kando ya bahari.

Kisha Yesu akawaacha makutano, akaingia nyumbani: wanafunzi wake wakamwendea, wakinena, Tufafanulie mfano wa magugu ya konde.

Wala hakufanya miujiza mingi huko, kwa sababu ya kutokuamini kwao.

Hatta Yesu alijiofika nyumbani kwa Petro, akamwona mama wa mkewe amelala hawezi homa.

Akaja mwenye ukoma akamsujudu, akinena, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.

Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti yangu; imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile.

Yesu alipokuwa anaondoka kutoka huko, vipofu wawili wakamfuata wakipaaza sauti, wakinena. Uturehemu, Ee mwana wa Daud.

Marra akawagusa macho yao, akanena, Kwa kadiri ya imani yenu mpate.

na killa mwenye uzima na kuniamini mimi hatakufa kabisa hatta milele. Je! waamini haya?

Yesu akamwambia, Sikukuambia ya kwamba ukiamini utauona utukufu wa Mungu? Bassi wakaliondoa lile jiwe.

Mtu huyo alimsikia Paolo akinena; nae akamkazia macho akaona ya kuwa ana imani ya kuponywa,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo