Mathayo 9:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 akawaambia, Ondokeni: kwa maana kijana hakufa, amelala tu. Wakamcheka sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 akasema, “Ondokeni hapa! Msichana huyu hakufa, amelala tu.” Nao wakamcheka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 akasema, “Ondokeni hapa! Msichana huyu hakufa, amelala tu.” Nao wakamcheka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 akasema, “Ondokeni hapa! Msichana huyu hakufa, amelala tu.” Nao wakamcheka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 akawaambia, “Ondokeni! Kwa maana binti huyu hakufa, bali amelala.” Wakamcheka kwa dhihaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 akawaambia, “Ondokeni! Kwa maana binti huyu hakufa, bali amelala.” Wakamcheka kwa dhihaka. Tazama sura |