Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 9:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Yesu alipofika nyumbani kwa yule jumbe, akaona wapiga filimbi, na makutano wakifanya maombolezo,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Kisha Yesu akaingia nyumbani kwa yule ofisa. Na alipowaona wapiga filimbi na umati wa watu wanaoomboleza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Kisha Yesu akaingia nyumbani kwa yule ofisa. Na alipowaona wapiga filimbi na umati wa watu wanaoomboleza,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Kisha Yesu akaingia nyumbani kwa yule ofisa. Na alipowaona wapiga filimbi na umati wa watu wanaoomboleza,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Isa alipofika nyumbani mwa yule kiongozi wa sinagogi na kuwaona waombolezaji wakipiga filimbi za maombolezo na watu wengi wakipiga kelele,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Isa alipofika nyumbani kwa yule kiongozi wa sinagogi na kuwaona waombolezaji wakipiga filimbi za maombolezo na watu wengi wakipiga kelele,

Tazama sura Nakili




Mathayo 9:23
12 Marejeleo ya Msalaba  

wakinena, Twaliwapigia filimbi, wala hamkucheza; twaliomboleza, wala hamkulia.


Wamefanana na watoto, waketio sokoni, wakiitana, wakisema, Tuliwapigia filimbi nanyi hamkucheza, tuliomboleza, nanyi hamkulia.


Paolo akashuka, akamwangukia, akamkumbatia, akasema, Msifanye ghasia, maana uzima wake ungalimo ndani yake.


Petro akaondoka akafuatana nao. Alipofika wakampeleka juu orofani: wajane wote wakasimama karibu nae, wakilia na kuniwonyesha zile kanzu na nguo alizozifanya Paa wakati ule alipokuwa pamoja nao.


Wala sauti ya wapiga vinanda na ya wapiga mazumari na ya wapiga filimbi na ya wapiga baragumu haitasikiwa ndani yako tena kabisa; wala fundi aliye yote wa kazi iliyo yote hataonekana ndani yako tena kabisa; wala sauti ya jiwe la kusagia haitasikiwa ndani yako tena kabisa;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo