Mathayo 9:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Akaondoka Yesu, akamfuata, pamoja na wanafunzi wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Yesu akaondoka pamoja na wanafunzi wake, akamfuata. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Yesu akaondoka pamoja na wanafunzi wake, akamfuata. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Yesu akaondoka pamoja na wanafunzi wake, akamfuata. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Isa akaondoka akafuatana naye, nao wanafunzi wake pia wakaandamana naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Isa akaondoka akafuatana naye, nao wanafunzi wake pia wakaandamana naye. Tazama sura |