Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 9:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Nae Yesu akisikia, akawaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Yesu aliwasikia, akasema, “Watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Yesu aliwasikia, akasema, “Watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Yesu aliwasikia, akasema, “Watu wenye afya hawahitaji daktari; wanaomhitaji ni wale walio wagonjwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Lakini Isa aliposikia hayo, akawaambia, “Watu wenye afya hawahitaji tabibu, lakini wale walio wagonjwa ndio wanaohitaji tabibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Lakini Isa aliposikia hayo, akawaambia, “Watu wenye afya hawahitaji tabibu, lakini wale walio wagonjwa ndio wanaohitaji tabibu.

Tazama sura Nakili

Mathayo 9:12
17 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana Mwana wa Adamu alikuja kukiokoa kilichopotea.

Yesu aliposikia akawaambia, Wenye afya hawabitaji tabibu bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dbambi wapate kutubu.

Yesu akajibu, akawaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi:

Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu tangu miaka thenashara, aliyegharimu vitu vyote alivyo navyo akawapa tabibu asipate kuponywa na mtu aliye yote,

Namakutano walipojua wakamfuata: akawakaribisha, akanena nao khabari za ufalme wa Mungu, akawaponya waliokuwa na haja ya kuponywa.

Luka, yule tabibu mpendwa, awasalimu, na Dema.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo