Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 9:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Ikawa alipoketi ale ndani ya nyumba, wutoza ushuru wengi na wenye dhambi wakaja wakaketi pamoja na Yesu ua wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Yesu alipokuwa nyumbani ameketi kula chakula, watozaushuru wengi na wahalifu walikuja wakaketi pamoja naye na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Yesu alipokuwa nyumbani ameketi kula chakula, watozaushuru wengi na wahalifu walikuja wakaketi pamoja naye na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Yesu alipokuwa nyumbani ameketi kula chakula, watozaushuru wengi na wahalifu walikuja wakaketi pamoja naye na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Isa alipokuwa ameketi akila chakula ndani ya nyumba ya Mathayo, watoza ushuru wengi na wenye dhambi wakaja, wakaketi kula pamoja naye na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Isa alipokuwa akila chakula ndani ya nyumba ya Mathayo, watoza ushuru wengi na “wenye dhambi” wakaja kula pamoja naye na wanafunzi wake.

Tazama sura Nakili

Mathayo 9:10
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mafarisayo walipoona, wakawaambia wanafunzi wake, Kwa nini mwalimu wenu anakula pamoja na watoza ushuru na wenye dhambi?

Yesu alipokuwa anaondoka kutoka huko akaona mtu amekeli fordhani, aitwae Mattayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.

Twajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi: bali mtu akiwa mcha Mungu, na kufanya mapenzi yake, huyo amsikia.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo