Mathayo 9:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19211 AKAPANDA chomboni, akavuka, akafika mjini kwake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Yesu alipanda mashua, akavuka ziwa na kufika katika mji wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Isa akaingia kwenye chombo, akavuka na kufika katika mji wa kwao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Isa akaingia kwenye chombo, akavuka na kufika katika mji wa kwao. Tazama sura |