Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 8:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Mji wote ukatoka kwenda kumlaki Yesu; walipomwona, wakamsihi aondoke mipakani mwao.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Basi, watu wote katika mji ule walitoka, wakamwendea Yesu; na walipomwona, wakamsihi aondoke katika nchi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Basi, watu wote katika mji ule walitoka, wakamwendea Yesu; na walipomwona, wakamsihi aondoke katika nchi yao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Basi, watu wote katika mji ule walitoka, wakamwendea Yesu; na walipomwona, wakamsihi aondoke katika nchi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kisha watu wote wa mji huo wakatoka kwenda kukutana na Isa. Nao walipomwona wakamsihi aondoke kwenye nchi yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kisha watu wote wa mji huo wakatoka kwenda kukutana na Isa. Nao walipomwona wakamsihi aondoke kwenye nchi yao.

Tazama sura Nakili

Mathayo 8:34
13 Marejeleo ya Msalaba  

Wakapiga kelele, wakinena, Tuna nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu? Je, umekuja kutuadhibu kabla ya muhulla?

Simon Petro alipoona haya, akaanguka magotini pa Yesu, akasema, Toka kwangu, kwa sababu mimi ni mtu mwenye dhambi, Bwana.

Alipomwona Yesu, akapiga kelele, akamwangukia, akasema kwa sauti kuu. Nina nini nawe, Yesu, Mwana wa Mungu aliye juu? Nakuomba usiniadhibu.

Wakaja wakawasihi: na walipokwisha kuwatoa nje, wakawaomba watoke katika mji ule.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo