Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 8:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Wachungaji wakakimbia, wakaenda zao mjini, wakayakhubiri yote, na mambo ya wenye pepo pia.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Wachungaji wa hao nguruwe walikimbia, wakaenda mjini. Huko walitoa habari zote na mambo yaliyowapata wale watu waliokuwa wamepagawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Wachungaji wa hao nguruwe walikimbia, wakaenda mjini. Huko walitoa habari zote na mambo yaliyowapata wale watu waliokuwa wamepagawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Wachungaji wa hao nguruwe walikimbia, wakaenda mjini. Huko walitoa habari zote na mambo yaliyowapata wale watu waliokuwa wamepagawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Wale watu waliokuwa wakiwachunga hao nguruwe wakakimbia wakaingia mjini, wakaeleza yote yaliyowatokea wale waliokuwa wamepagawa na pepo wachafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Wale watu waliokuwa wakiwachunga hao nguruwe wakakimbia wakaingia mjini, wakaeleza yote kuhusu yale yaliyowatokea wale waliokuwa wamepagawa na pepo wachafu.

Tazama sura Nakili

Mathayo 8:33
6 Marejeleo ya Msalaba  

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Ilipokuwa jioni, wakamletea wengi wenye pepo: akawafukuza pepo kwa neno lake, akawaponya wote waliokuwa hawawezi,

Akawaambia. Nendeni. Wakatoka, wakaingia katika kundi la nguruwe: na, kumbe! kundi lote la nguruwe likatelemka kwa kassi gengeni, wakaingia baharini, wakafa majini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo