Mathayo 8:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192130 Bassi, kulikuwako mbali kundi la nguruwe wengi wakilisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Karibu na mahali hapo kulikuwa na nguruwe wengi wakichungwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Mbali kidogo kutoka pale walipokuwa, kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakila. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Mbali kidogo kutoka pale walipokuwa, kulikuwa na kundi kubwa la nguruwe wakilisha. Tazama sura |