Mathayo 8:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192125 Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwamsha, wakinena, Bwana, tuokoe tunaangamia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Wanafunzi wakamwendea, wakamwamsha wakisema, “Bwana, tuokoe, tunaangamia!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Wanafunzi wakamwendea, wakamwamsha wakisema, “Bwana, tuokoe, tunaangamia!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Wanafunzi wakamwendea, wakamwamsha wakisema, “Bwana, tuokoe, tunaangamia!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Wanafunzi wake wakamwendea na kumwamsha, wakisema, “Bwana, tuokoe! Tunazama!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Wanafunzi wake wakamwendea na kumwamsha, wakisema, “Bwana, tuokoe! Tunazama!” Tazama sura |