Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Mathayo 8:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Kukawa msukosuko mkuu baharini, hatta chombo kikafunikizwa na mawimbi: nae alikuwa amelala.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mara, dhoruba kali ikatokea ziwani, hata mawimbi yakaanza kuifunika mashua. Yesu lakini alikuwa amelala usingizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mara, dhoruba kali ikatokea ziwani, hata mawimbi yakaanza kuifunika mashua. Yesu lakini alikuwa amelala usingizi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mara, dhoruba kali ikatokea ziwani, hata mawimbi yakaanza kuifunika mashua. Yesu lakini alikuwa amelala usingizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Ghafula, kukatokea dhoruba kali baharini hata mashua ikaanza kufunikwa na mawimbi, lakini Isa alikuwa amelala usingizi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Ghafula, kukainuka dhoruba kali baharini hata mashua ikaanza kufunikwa na mawimbi, lakini Isa alikuwa amelala usingizi.

Tazama sura Nakili

Mathayo 8:24
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akapanda chomboni, wanafunzi wake wakamfuata.

Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwamsha, wakinena, Bwana, tuokoe tunaangamia.

Na walipokuwa wakienda kwa matanga akalala usingizi. Ikashuka dharuba ya upepo juu ya ziwa, chombo kikaanza kujaa maji, wakawa katika khatari.

Nami nafurahi kwa ajili yenn kwamba sikuwa huko, mpate kuamini: lakini na twende kwake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo