Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 8:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Mwandishi mmoja akamwendea, akamwambia, Mwalimu, nitakufuata ko kote uendako.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Mwalimu mmoja wa sheria akamwendea, akamwambia, “Mwalimu, mimi nitakufuata kokote utakakokwenda.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Isa na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata popote utakakoenda.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kisha mwalimu mmoja wa sheria akamjia Isa na kumwambia, “Mwalimu, nitakufuata kokote uendako.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 8:19
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi, kadhalika killa mmoja wenu asiyeviacha vitu vyote alivyo navyo hawezi kuwa mwanafunzi wangu.


Yu wapi mwenye hekima? Yu wapi mwandishi? Yu wapi mleta hoja wa dunia bii? Je! Mungu hakuifanya hekima ya dunia liii kuwa upumbavu?


Labda nitakaa kwenu; naam, labda nitashinda kwenu wakati wa baridi, mpate kunisafirisha wakati uwao wote nitakapokwenda.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo