Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 8:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Yesu alipoona makutano mengi wakimzunguka, akaamuru kuvuka hatta ngʼambu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Yesu alipoona kundi la watu limemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake waende ngambo ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Yesu alipoona kundi la watu limemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake waende ngambo ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Yesu alipoona kundi la watu limemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake waende ng'ambo ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Isa alipoona makundi mengi yamemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake wavuke hadi ng’ambo ya ziwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Isa alipoona makutano mengi wamemzunguka, aliwaamuru wanafunzi wake wavuke mpaka ng’ambo ya ziwa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 8:18
10 Marejeleo ya Msalaba  

Marra Yesu akawalazimisha wamifunzi wake wapande chomboni na kutangulia mbele yake kwenda ngʼambu, wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.


ALIPOSHUKA mlimani, makutano mengi walimfuata.


Siku ile ilipokuwa jioni, akawaambia, Na tuvuke hatta ngʼambu.


Hatta Yesu alipokwisha kuvuka kurudia ngʼambu katika kile chombo, wakamkusanyikia makutano mengi: nae alikuwa kando ya bahari.


Marra akawashurutisha wanafunzi wake wapande chomboni, watangulie kwenda ngʼambu hatta Betsaida wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.


Akawaacha, akapanda tena chomboni, akaenda zake hatta ngʼambu.


Ikawa siku mojawapo ya siku zile akapanda chomboni, yeye na wanafunzi wake, akawaambia, Na tuvuke hatta ngʼambu ya ziwa: wakatweka matanga.


Bassi Yesu, akitambua ya kuwa walitaka kuja kumchukua illi wamfanye mfalme, akajitenga, akaenda tena mlimani, yeye peke yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo