Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 8:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 illi litimie lile neno lililonenwa na nabii Isaya, akisema, Mwenyewe alitwaa magonjwa yetu, na kuchukua maradhi zetu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie: “Yeye mwenyewe ameuchukua udhaifu wetu, ameyabeba magonjwa yetu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie: “Yeye mwenyewe ameuchukua udhaifu wetu, ameyabeba magonjwa yetu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Alifanya hivyo ili yale aliyosema nabii Isaya yatimie: “Yeye mwenyewe ameuchukua udhaifu wetu, ameyabeba magonjwa yetu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Haya yalifanyika ili litimie neno lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya, kwamba: “Mwenyewe alitwaa udhaifu wetu na akachukua magonjwa yetu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Haya yalifanyika ili litimie lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Isaya kwamba: “Mwenyewe alitwaa udhaifu wetu na alichukua magonjwa yetu.”

Tazama sura Nakili




Mathayo 8:17
9 Marejeleo ya Msalaba  

Haya yote yamekuwa, illi litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii akinena,


akawa huko mpaka alipokufa Herode: illi litimie neno lililonenwa na Bwana kwa ujumbe wa nabii, akisema, Kutoka Misri nalimwita mwaua wangu.


akaenda, akakaa mji uliokwitwa Nazareti: illi litimie neno lililonenwa na manabii, Atakwitwa Mnazorayo.


Hatta ilipokuwa jioni, na jua limekwisha kuchwa, wakamletea wote waliokuwa hawawezi, na wenye pepo.


Hatta jua lilipokuwa likichwa watu wote waliokuwa na wagonjwa wenye maradhi mbali mbali wakawaleta kwake: nae akaweka mikono yake juu ya killa mmoja, akawaponya.


Kwa hiyo napendezwa na udhaifu, na maumivu, na dhiiki, na adha, na shidda, kwa ajili ya Kristo. Maana niwapo dhaifu ndipo nilipo ua nguvu.


yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, illi, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe bayi kwa mambo ya haki; kwa kuchubuka kwake mliponywa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo