Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 8:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Hatta Yesu alijiofika nyumbani kwa Petro, akamwona mama wa mkewe amelala hawezi homa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Yesu alifika nyumbani kwa Petro, akamkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, ana homa kali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Yesu alifika nyumbani kwa Petro, akamkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, ana homa kali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Yesu alifika nyumbani kwa Petro, akamkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, ana homa kali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Isa alipoingia nyumbani mwa Petro, alimkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, akiwa ana homa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Isa alipoingia nyumbani kwa Petro, alimkuta mama mkwe wa Petro amelala kitandani, akiwa ana homa.

Tazama sura Nakili




Mathayo 8:14
9 Marejeleo ya Msalaba  

Akanena, Hutoa. Nae alipoingia nyumbani, Yesu akatangulia kumwuliza, akinena, Waonaje, Simon? Wafalme wa dunia hutwaa kodi ama ushuru kwa watu gani? kwa wana wao au kwa wageni?


Akamgusa mkono wake, homa ikamwacha; nae akaondoka, akawatumikia.


Yesu akamwambia, Mbweha wana matundu, na ndege za anga vituo; bali Mwana wa Adamu hana pa kulaza kichwa chake.


Hatuna uwezo kuchukua pamoja nasi mke aliye ndugu, kama wao mitume wengine, na ndugu wa Bwana, na Kefa?


Bassi imempasa askofu kuwa mtu asiyelaumiwa, mume wa mke mmoja, mwenye kiasi na busara, mtu wa utaratibu, mkaribishaji, mfundishaji;


wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru kujiepusha na vyakula ambavyo Mungu aliviumba vopokewe kwa shukrani na walio na imani na wenye kuijua sana kweli.


Ndoa iheshimiwe na watu wote, na malalo yawe safi: kwa maana waasharati na wazinzi Mungu atawahukumu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo