Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Mathayo 8:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Yesu akamwambia akida, Nenda zako: na kadiri ulivyoamini upate. Mtumishi wake akapona saa ileile.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kisha Yesu akamwambia huyo jemadari Mroma, “Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini.” Na mtumishi wake akapona saa ileile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kisha Yesu akamwambia huyo jemadari Mroma, “Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini.” Na mtumishi wake akapona saa ileile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kisha Yesu akamwambia huyo jemadari Mroma, “Nenda nyumbani; na iwe kama ulivyoamini.” Na mtumishi wake akapona saa ileile.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kisha Isa akamwambia yule jemadari, “Nenda na iwe kwako sawasawa na imani yako.” Naye yule mtumishi akapona wakati ule ule.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kisha Isa akamwambia yule jemadari, “Nenda na iwe kwako sawasawa na imani yako.” Naye yule mtumishi akapona saa ile ile.

Tazama sura Nakili




Mathayo 8:13
10 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Yesu akajibu, akamwambia, Ee mwanamke, imani yako kubwa; pata utakavyo. Akapona binti yake tangu saa ile.


Yesu akawaambia, Kwa sababu ya kutokuamini kwenu. Kwa maana, amin, nawaambieni, Mkiwa na imani kama punje ya kharadali mtauambia mlima huu, Ondoka hapa hatta kule; nao utaondoka; wala halitakuwako neno lisilowezekana kwenu.


Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; illa enenda zako, ukajionyeshe kwa kuhani, utoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.


Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti yangu; imani yako imekuponya. Yule mwanamke akapona tangu saa ile.


Akamwambia, Kwa sababu ya neno hilo, nenda zako; pepo amemtoka binti yako.


Yesu akamwambia, Ukiweza kuamini: yote yawezekana kwake aaminiye.


Yesu akamwambia, Shika njia yako: mwana wako yu hayi. Mtu yule akaliamini lile neno aliloambiwa na Yesu, akashika njia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo